Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Ujumbe wa TLS na TAWJA Ikulu Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Profesa Edward Hoseah wakati Ujumbe wa Chama hicho ulipofika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Ujumbe wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) ulioongozwa na Rais wa Chama hicho Profesa Edward Hoseah, wakati Ujumbe huo ulipofika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA)  Jaji Joaquine De-Mello, wakati alipoongoza Ujumbe wa Chama hicho, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Ujumbe wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) ulioongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho Jaji Joaquine De-Mello, wakati Ujumbe huo ulipofika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.
PICHA NA IKULU.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.