Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Akagua Ujenzi wa Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.

Muonekano wa Jengo la Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma linalojengwa na SUMA JKT ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake, Agosti 13, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, Agosti 13, 2021. Kushoto ni Waziri wa Ujenzi na  Uchukuzi  Dkt. Leonard Chamuriho.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, Agosti 13, 2021. Kushoto ni Waziri wa Ujenzi na  Uchukuzi  Dkt. Leonard Chamuriho.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa Ikulu  ya Chamwino jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na vijana wa SUMA JKT baada ya kukagua ujenzi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, Agosti 13, 2021.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.