Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Mpango Amefungua Maonesho ya Tatu ya SIDO Kitaifa.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa maonesho ya tatu ya Sido kitaifa. Maonesho hayo yanafanyika katika viwanja vya Umoja Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa maonesho ya tatu ya Sido kitaifa. Maonesho hayo yanafanyika katika viwanja vya Umoja Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akipokea maelezo kutoka kwa Benedicto Kalumuna   ambaye ni afisa kutoka Sido juu ya bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Sido  wakati alipotembelea mabanda mbalimbali ya wajasiriamali katika maonesho ya tatu ya Sido kitaifa wilayani Kasulu mkoani Kigoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akishuhudia namna bora ya ufugaji wa vifaranga kwa kutumia Keji maalum  wakati alipotembelea mabanda mbalimbali ya wajasiriamali katika maenesho ya tatu ya Sido kitaifa wilayani Kasulu mkoani Kigoma. Kulia ni Mama Mbonimpaye Mpango mke wa Makamu wa Rais (wa katikati) pamoja na Theobali Sabi ambaye ni mjasiriamali. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akipokea maelezo kutoka kwa Gisela Dennis  ambaye ni afisa masoko wa kampuni ya Deve inayojishughulisha na uuzaji wa vifaa vya Hospitalini wakati alipotembelea mabanda mbalimbali ya wajasiriamali katika maonesho ya tatu ya Sido kitaifa wilayani Kasulu mkoani Kigoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akipokea maelezo kutoka kwa Salvatory Mwinula mjasiriamali ambaye ni fundi wa kutengeneza mitambo ya kufua umeme wa kuangulia vifaranga wakati alipotembelea mabanda mbalimbali ya wajasiriamali katika maonesho ya tatu ya Sido kitaifa wilayani Kasulu mkoani Kigoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na wananchi mbalimbali waliojitokeza katika ufunguzi wa  maonesho ya tatu ya Sido kitaifa yanayofanyika wilayani Kasulu mkoani Kigoma.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiwa katika picha ya pamoja na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaowakilisha Mkoa wa Kigoma mara baada ya kufungua maonesho ya tatu ya Sido kitaifa yanayofanyika wilayani Kasulu mkoani Kigoma.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.