MKUU wa Wilaya ya Micheweni Mgeni Khatib Yahya,
akiwasikiliza akinamama wa wilaya ya micheweni juu ya kero zao zinazowakabili,
wakati wa mkutano wa uhamasishaji wanawake kugombania nafasi za uongozi
uliondaliwa na jumuiya PEGAO, pamoja na TAMWA-Zanzibar,ZAFELA mradi wa
ushirikishaji wanawake katika uongozi unaofadhiliwa na Ubalozi wa Norway nchini.
MHAMASISHAJI kwenye jamii katika masuala ya wanawake
kugombania nafasi za uongozi, Siti Habibu akimsikiliza na Asha Nassor Makame
mkaazi wa Makambeni Wilaya ya Mkoani, wakati wa mkutano wa uhamasishaji
wanawake kugombania nafasi za uongozi uliondaliwa na jumuiya PEGAO.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment