Habari za Punde

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Simai Mohamed Said Amefungua Maonesho ya Taaluma ya Elimu Zanzibar.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akizungumza na mmoja wa Wanafunzi wenye ulemavu wa Miguu wakati alipofungua maonesho ya Taaluma Elimu, katika Mnara wa Mapinduzi Square, Micbenzani Mjini Unguja,  ikiwa ni miongoni mwa Shamra shamra za.kuelekea miaka 57 ya Elimu bila malipo.

Na Maulid Yussuf WEMA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.