Habari za Punde

Air France yaanza safari zake za moja kwa moja Zanzibar

Ndege aina ya Boeing Dreamliner 787 ya shirika la ndege la Ufaransa Air France ilipowasili Uwanja wa kimataifa wa Amani Abeid Karume ikiwa na watalii 175.

 Mapokezi ya safari ya kwanza ya Shirika la ndege la Ufaransa ambapo ndege kubwa iliwasili na watalii 175

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.