Marehemu Naushad Mohamed Suleiman
Kwa niaba ya Mama yetu Bibi Gulshan Suleiman tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa upendo mlionyesha kwetu kufuatia msiba wa ndugu yake Mama ambae pia ni Mjomba wetu Marehemu Naushad Mohamed Suleiman kutoka msiba ulipotokea mpaka mazishi ya mjomba wetu huko Dubai.
Tunashukuru kwa Rambirambi zenu na salamu za faraja kwetu. Mwenyezi Mungu akulipeni kila la kheri na tuendelee kushikamana.
Innalillah wa Inna Ilayhi Rajioun.
No comments:
Post a Comment