Habari za Punde

Mbunge wa Tumbe acharuka aikataa mipira ya kusamabaza maji iliyonunuliwa

MBUNGE wa Jimbo la Tumbe wilaya ya Micheweni  Amour Mbarouk Khamis, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukataa mipira ya kusambazia maji kutokutimia idadi iliyotakiwa, iliyonunuliwa kwa mfuko wa maendeleo wa Mbunge wa Jimbo hilo, huko katika Kijiji Cha Tumbe Mashariki.(PICHA NA SAID ABDULRAHMAN, PEMBA)

BAADHI ya mipira iliyokataliwa na mbunge wa Jimbo la Tumbe, kwa ajili ya kuwakabidhi wananchi wa jimbo hilo kwa madai ya kutokufikia idadi sahihi ya mipira 26 na kuwasilishwa mipira 20.(PICHA NA SAID ABDULRAHMAN, PEMBA)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.