MKUFUNZI wa Masuala
ya Mtandao Seif Gharib, akikusanya tathmini ya awali kwa washiriki wa mafunzo
ya Utawala bora, Demokrasia na Haki za Binaadamu yaliyotolewa na Jumuiya ya
ZAFYCO Zanzibar, kupitia mradi wa elimu ya uraia kwa vijana wa taasisi za elimu
ya juu, mafunzo yaliyofanyika mjini chake chake
VIJANA kutoka vyuo
mbali mbali vya elimu ya Juu vilivyopo Pemba, wakifuatilia kwa makini ufunguzi
wa Mradi wa elimu ya uraia kwa vijana wa elimu ya juu, unaosimamiwa na Jumuiya
ya ZAFYCO Zanzibar uzinduzi huo uliofanyika mjini Chake Chake
MKURUGENZI wa Jumuiya
ya ZAFYCO Zanzibar Abdallah Abeid, akizungumza na vijana kutoka vyuo vya elimu
ya juu Pemba, wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa elimu ya uraia kwa vijana
wa elimu ya juu, unaosimamiwa na Jumuiya ya ZAFYCO Zanzibar uzinduzi huo
uliofanyika mjini Chake Chake
MWANAFUNZI Amina
Salum Mohamed kutoka chuo cha SUZA Pemba, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mradi
wa elimu ya uraia kwa vijana wa elimu ya juu, unaosimamiwa na Jumuiya ya ZAFYCO
Zanzibar uzinduzi huo uliofanyika mjini Chake Chake
MKUFUNZI wa masuala ya Utawala bora, Demokrasia na haki za binaadamu, kwa vijana wa elimu ya juu kupitia mradi wa elimu ya uraia kwa vijana wa elimu ya juu, unaosimamiwa na Jumuiya ya ZAFYCO Zanzibar uzinduzi huo uliofanyika mjini Chake Chake.

(PICHA NA
ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment