Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Akagua Eneo la Ujenzi wa Daraja la Linalounganisha Vijiji vya Milolo na Nangalu - Lindi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wananchi wakati alipowasili kwenye kijiji cha Milola katika Jimbo la Mchinga mkoani Lindi kukagua eneo la ujenzi wa daraja linalounganisha kijiji cha  Milola na Nangalu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza   katika kijiji cha Milola wakati alipokagua eneo la ujenzi wa daraja  linalounganisha kijiji cha Milola na  Nangalu katika jimbo la Mchinga Mkoani Lindi, Oktoba 26, 2021. Kushoto ni Mbunge wa Mchinga Mama Salma Kikwete na wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack
Wananchi wa Mchinga wakishangilia wakati Waziri Mkuu Kassim  Majaliwa alipowasalimia katika kijiji cha Milola  baada ya kukagua eneo la uhjeozi wa  daraja  linalounganisha kijiji cha Milola na  Nangalu katika jimbo la Mchinga Mkoani Lindi, Oktoba 26, 2021. Kushoto ni Mbunge wa Mchinga Mama Salma Kikwete na wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.