Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Afungua Mafunzo ya Uongozi Kwa Mawaziri na Manaibu Mawaziri.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi Kadari Singo wakati alipofungua mafunzo ya Uongozi kwa Mawaziri na Manaibu Waziri yaliyoandaliwa na Taasisi ya Uongozi, Kwenye Ukumbi wa St. Gasper jijini Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua mafunzo ya Uongozi kwa Mawaziri na Manaibu Waziri yaliyoandaliwa na Taasisi ya Uongozi, Kwenye Ukumbi wa St. Gasper jijini Dodoma Oktoba 29, 2021. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mohamed Mchengerwa na katikati ni Spika Mstaafu Anne Makinda. 
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Uongozi kwa Mawaziri na Manaibu Waziri wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipofungua hayo Kwenye Ukumbi wa St. Gasper jijini Dodoma 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mohamed Mchengerwa (katikati) na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Dkt. Francis Michael baada ya kufungua mafunzo ya Uongozi kwa Mawaziri na Manaibu Waziri yaliyoandaliwa na Taasisi ya Uongozi, Kwenye Ukumbi wa St. Gasper jijini Dodoma Oktoba 29, 2021
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.