Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Atembelea Hospitali ya Mtakatifu Martin ya Kipatimu Kilwa.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza  na wauguzi wa Hospitali ya Mtakatifu Martin ya Kipatimu wilayani Kilwa wakati alipoitembelea
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mtakatifu Martin ya Kipatimu wilayani Kilwa, Dkt. Christina Kasyama (kulia) kuhusu mashine ya X-ray  wakati alipotembelea hospitali hiyo,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mtakatifu Martin ya Kipatimu wilayani Kilwa, Dkt. Christina Kasyama (kulia) kuhusu mashine ya X-ray  wakati alipotembelea hospitali hiyo, Oktoba 6, 2021.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.