Habari za Punde

Mkutano wa wazi kupinga udhalilishaji wa kijinsia kwa wanawake na watoto Uwandani kisiwani Pemba

MWANASHERIA kutoka kituo cha huduma za sheria Zanzibar Tawi la Pemba Safia Saleh Sultani, akitoa ufafanuzi wa maswali mbali mbali yaliyoulizwa na wananchi wa Uwandani, katika mkutano wa wazi uliondaliwa na Idara ya Katiba na Msaada wa Kisheria Zanzibar, ikiwa ni siku 16 za kupinga udhalilishaji wa kijinsia kwa wanawake na watoto.

BAADHI ya wananchi wa Uwandani Wilaya ya Chake Chake, wakifuatilia mkutano wa wazi ulioandaliwa na Idara ya Katiba na msaada wa Sheria Zanzibar, juu ya siku 16 za kupiga udhalilishaji wa kijinsia.

Picha na Abdi Suleiman - Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.