Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Ahudhuria Sikukuu ya Diwali na Sherehe za Mwaka Mpya wa Kihindi.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Viongozi wa Baraza la Wahindu Tanzania, wakati akiwasili kwenye siku kuu ya Diwali na sherehe za mwaka mpya wa kihindu, Kisutu jijini Dar es Salaam Novemba 15, 2021. Kutoka kulia ni Rais wa Baraza la Wahindu Tanzania Bavin Borkhataria, Makamu wa Rais wa Baraza la Wahindu Tanzania Jigar Patel na Mkuu wa Mkoa wa Dar ess Salaam Amos Makala.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikaribishwa kimila, wakati akiwasili kwenye siku kuu ya Diwali na sherehe za mwaka mpya wa Kihindu, zilizofanyika, Kisutu jijini Dar es Salaam 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasha mshumaa, kuashiria kama ishara ya kupokea mwaka mpya wa Kihindu, kwenye siku kuu ya Diwali na sherehe za mwaka mpya wa Kihindu, zilizofanyika, Kisutu jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza kwenye siku kuu ya Diwali na sherehe za mwaka mpya wa Kihindu, zilizofanyika, Kisutu jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Baraza la Wahindu Tanzania, kwenye siku kuu ya Diwali na sherehe za mwaka mpya wa kihindu, Kisutu jijini Dar es Salaam Novemba 15, 2021.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.