Makamo wa Pili wa Rais mhe Hemed Suleiman Abdulla akiakhirisha mkutano wa tano wa Baraza la kumi la Wawakilishi. Baraza la Wawakilishi limeakhirishwa hadi siku ya jumatano tarehe 16 februari 2022 saa tatu kamil;i asubuhi
MAWAKALA WA MILKI NCHINI WATAKIWA KUJISAJILI
-
Na Munir Shemweta, WANMM ARUSHA
Mawakala wa Milki nchini wametakiwa kujisajili katika mfumo wa Wizara ya
Ardhi ili kuingia kwenye mfumo rasmi utakao...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment