Habari za Punde

Mhe. Rais Samia atembelea Kituo cha Redio ya Taifa TBC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu uendeshaji wa Vipindi mbalimbali vya Redio kutoka kwa Mkurugenzi wa Huduma za Redio TBC Redio Bi Aisha Dachi wakati alipotembelea Kituo cha Redio cha TBC Taifa kilichopo Barabara ya Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Desemba 2021. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TBC Dkt. Ayoub Rioba.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu maendeleo ya uendeshaji wa Redio ya TBC Taifa kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji TBC Dkt. Ayoub Rioba  wakati alipotembelea katika Kituo hicho kilichopo Barabara ya Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Desemba 2021. Kulia ni Mkurugenzi wa Huduma za Redio TBC Redio Bi Aisha Dachi.
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.