Habari za Punde

Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Waibuka Mabingwa wa Kombe la UVCCM GREEN CUP. Kwa Kuifungua Timu ya Mkoa wa Pwani kwa Mabao 3-1.

Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kassim Majaliwa akikabidhi kombe la UVCCM GREEN CUP kwa nahodha wa timu ya Mkoa wa Magharibi Hassan Said Hassan (katikati) na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Magharibi Fahmy Ali (kushoto). Waziri Mkuu alikuwa rasmi katika mchezo wa fainali wa UVCCM GREEN CUP uliozikutanisha Timu ya mpira wa miguu ya Mkoa wa Magharibi (Zanzibar) na Timu ya mpira wa miguu ya mkoa wa Pwani (Tanzania Bara)  kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es salaam
Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kassim Majaliwa akipokea tuzo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kutoka kwa Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Kenani Kihongosi ya kutambua mchango wake na malezi bora kwa Jumuiya na Chama, kwenye fainali wa UVCCM GREEN CUP uliozikutanisha Timu ya mpira wa miguu ya Mkoa wa Magharibi (Zanzibar) na Timu ya mpira wa miguu ya mkoa wa Pwani (Tanzania Bara)  kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es salaam
Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kassim Majaliwa akikagua timu ya mpira wa miguu ya Mjini Magharibi wakati alipokuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa Fainali ya UVCCM GREEN CUP uliozikutanisha Timu ya mpira wa miguu ya Mkoa wa Magharibi (Zanzibar) na Timu ya mpira wa miguu ya mkoa wa Pwani (Tanzania Bara)  kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es salam
Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kassim Majaliwa akikagua Timu ya mpira wa miguu ya mkoa wa Pwani (Tanzania Bara) wakati alipokuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa Fainali ya UVCCM GREEN CUP uliozikutanisha Timu ya mpira wa miguu ya Mkoa wa Magharibi (Zanzibar) na Timu ya mpira wa miguu ya mkoa wa Pwani (Tanzania Bara)  kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es salam
Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kassim Majaliwa Akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kenani Kihongosi alipokuwa mgeni rasmi katika mchezo wa fainali wa UVCCM GREEN CUP uliozikutanisha Timu ya mpira wa miguu ya Mkoa wa  Magharibi (Zanzibar) na Timu ya mpira wa miguu ya mkoa wa Pwani (Tanzania Bara)  kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es salaam


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.