Mrajisi Baraza la Madaktari Zanzibar Dk. Faiza Kassim Suleiman akizungumza na vyombo vya habari akiwataka wananchi kufuata utaratibu maalum wa kufikisha malalamiko yao dhidi ya watendaji wa sekta ya Afya, huko Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii,Wazee, Jinsia na Watoto Mnazimmoja Zanzibar.
PICHA NA FAUZIA MUSSA-MAELEZO ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment