Habari za Punde

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aongoza Kikao cha Maalum cha Kamati Kuu ya CCM


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika leo tarehe 20 Januari, 2022 katika ukumbi wa Halmashauri Kuu CCM White House Jijini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM wakiendelea na kikao maallum kikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  leo tarehe 20 Januari, 2022 katika ukumbi wa Halmashauri Kuu CCM White House Jijini Dodoma.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.