GARI ya abiria yenye Namba Z845 EP, Ruti Gombani Chake Chake, inayodaiwa ambayo imepata ajali na kupanda viguzo zilizowekwa taa za barabarani, baada ya kudaiwa kufeli breki tokea Michakaeni hadi mjini kwenye mataa.(PICHA NA ABDI SULEIMAN.)
ALAF YAZINDUA TUZO YA 10 YA KISWAHILI YA SAFAL 2025
-
Na Mwandishi Wetu
KAMPUNI ya ALAF Tanzania imezindua rasmi Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya
Fasihi ya Afrika kwa mwaka wa 2025, ambapo wanaotarajiwa kushiriki...
33 minutes ago
0 Comments