BAADHI ya Wanawake wajasiriamali ambao ni wanufaika
wa mradi wa Miliki Uwezo unaotekelezwa na Kijana Hai Foundation, kutoka Wilaya
ya Wete na Chake Chake, wakifuatilia kwa makini mafunzo juu ya usimamizi wa
bishara kutoka kwa watendaji wa ushirika na CRDB, hafla iliofanyika ukumbi wa
Madungu Sekondari Chake Chake.
MKALIMANI wa Lugha za Alama Kisiwani Pemba Asha, akitoa
ufafanuzi kwa kutumia njia za alama kwa wanawake wenye ulemavu wa Usikivu,
wakati wa mafunzo juu ya usimamizi wa biashara kutoka kwa watendaji wa Idara ya
Ushirika Pemba na CRDB, hafla iliofanyika ukumbi wa Madungu Sekondari Chake
Chake.
AFISA Tehama kutoka Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais
Kazi Uchumi na Uwekezaji Pemba Farid Hamuni Juma akiwasilisha mada kwa wanawake
wajasiriamali ambao ni wanaufaika wa mradi wa miliki uwezo unaotekelezwa na Kijana
Hai Foundation, hafla iliofanyika ukumbi wa Madungu Sekondari Chake Chake.
MENEJA wa Mradi wa Miliki Uwezo unaotekelezwa na Kijana
Hai Foundation Suleiman Muyuni Bitani, akizungumza na wanawake wajasiriamali
ambao ni wanufaika wa mradi wa miliki uwezo unaotekelezwa na Kijana Hai
Foundation, hafla iliofanyika ukumbi wa Madungu Sekondari Chake Chake.

No comments:
Post a Comment