RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa habari kutoka
vyombo mbalimbali vya Kitaifa na Kimataifa, mazungumzo hayo yamefanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakiwa Zanzibar kutembelea Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kushuhudia uzinduzi wa matumizi
ya Mashine ya (EDE) ya kupimia UVIKO-19,
pamoja na kuwasili kwa Ndege ya “Fly Dubai” kutoka (UAE)
WAANDISHI wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya
Kitaifa na Kimataifa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na
waandishi hao uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakiwa Zanzibar kutembelea Uwanja
wa Ndege wa Abeid Amani Karume na kushuhudia uzinduzi wa matumizi ya mashine ya
(EDE ) ya kupimia UVIKO-19 pamoja na kuwasili kwa Ndege ya “Fly Dubai” kutoka
(UAE)

MWANDISHI wa habari kutoka (BBC) Bw.Aboubakar
Famau akiuliza swali wakati wa mkutano uliowashirikisha waandishi wa habari wa
Kitaifa na wa Kimataifa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi
wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakiwa Zanzibar kutembelea Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Abeid Amani Karume wakati wa uzinduzi wa matumizi ya mashine ya
(EDE) ya kupimia UVIKO-19, pamoja na kuwasili kwa Ndege ya “Fly Dubai” kutoka (UAE)
MWANDISHI wa habari kutoka Taifa leo kutoka Kenya (NMG)
Bi. Mary Wangari akiuliza swali wakati wa mkutano wao uliowashirikisha
waandishi wa habari wa Kitaifa na wa Kimataifa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakiwa Zanzibar kutembelea
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,wakati wa uzinduzi
wa matumizi ya mashine ya (EDE) ya kupimia UVIKO-19, pamoja na kuwasili kwa
Ndege ya “Fly Dubai” kutoka (UAE)
MWANDISHI wa habari kutoka Daily Nation /
Business Daily Bw.Ochieng Oreyo akiuliza swali wakati wa mkutano wao
uliowashirikisha waandishi wa habari wa Kitaifa na wa Kimataifa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo
pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakiwa Zanzibar
kutembelea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,wakati
wa uzinduzi wa matumizi ya mashine ya (EDE) ya kupimia UVIKO-19, pamoja na
kuwasili kwa Ndege ya “Fly Dubai” kutoka (UAE)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kujibu maswali ya Waandishi wa habari kutoka
vyombo mbalimbali vya Kitaifa na Kimataifa, mazungumzo hayo yamefanyika katika
ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakiwa Zanzibar kutembelea Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kushuhudia uzinduzi wa matumizi
ya Mashine ya (EDE) ya kupimia UVIKO-19,
pamoja na kuwasili kwa Ndege ya “Fly Dubai” kutoka (UAE)
WAANDISHI wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya
Kitaifa na Kimataifa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na
waandishi hao uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakiwa Zanzibar kutembelea Uwanja
wa Ndege wa Abeid Amani Karume na kushuhudia uzinduzi wa matumizi ya mashine ya
(EDE ) ya kupimia UVIKO-19 pamoja na kuwasili kwa Ndege ya “Fly Dubai” kutoka
(UAE)
WAANDISHI wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya
Kitaifa na Kimataifa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na
waandishi hao uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakiwa Zanzibar kutembelea Uwanja
wa Ndege wa Abeid Amani Karume na kushuhudia uzinduzi wa matumizi ya mashine ya
(EDE ) ya kupimia UVIKO-19 pamoja na kuwasili kwa Ndege ya “Fly Dubai” kutoka
(UAE).
No comments:
Post a Comment