Habari za Punde

Ufunguzi wa Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kirai Zanzibar Viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Unguja Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi wa Serikali na Asasi za Kiraia Zanzibar alipowasili katika viwanja vya hoteli hiyo kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano mkuu wa kwanza wa mwaka wa Asasi za Kiraia Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar, akitembelea banda la maonesho la Jumuiya ya Kuendeleza Nyuki na Hifadhi ya Mazingira Pemba (JUKUNUM) akipata maelezo kutoka kwa Kiongozi wa Kikundi hicho Bw.Suleiman Masoud Nyuki.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar, akitembelea banda la maonesho la ANGOZA  na kupata maelezo kutoka kwa Afisa Miradi Bw.Mohammed Farid Hussein
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar, akitembelea banda la maonesho la “Center for Youth Dialogue” na kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Asasi hiyo Bw. Hashim Pondeza.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Maonesho ya Taasisi za Asasi za Kiraia Zanzibar, akitembelea banda la maonesho la SOS na kupata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi SOS Bi.Asha Salim Ali
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.