Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofuturu na watoto wenye mahitaji maalum wa kituo cha Buigiri wilayani Chamwino, Dodoma ambacho kinamilikiwa na Kanisa la Angilikana Dayosisi ya Central Tanganyika
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofuturu na watoto wenye mahitaji maalum wa kituo cha Buigiri wilayani Chamwino, Dodoma ambacho kinamilikiwa na Kanisa la Angilikana Dayosisi ya Central Tanganyika, Aprili 21, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment