Habari za Punde

Ajali ya Gari Katika Eneo la Kilimani Asubuhi ya Leo.

Wananchi wakiangalia na kutoa msaada kwa watu waliojeruhiwa katika ajali hiyo iliyotokea leo asubuhi katika eneo la kilimani chini iliyohusisha gari ya mizigo. kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wamesama gari hiyo ilikuwa katika barabara ya kilimani ikishusha na kufeli breki na kuwagonga Watu waliokuwa katika kibanda cha kuuzia uroja kilimani chini kwa Kito na kuwagonga kwa mujibu wa mashuhuda na Watu wawili wamefariki katika ajali hiyo kwa kugongwa na gari hiyo na mmoja kujeruhiwa.
Watu Wawili waliofariki na Wawili wamejeruhiwa, waliofariki katika ajali hito ni Fatma Abeid Abdalla na 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.