Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Mpango Awasili Mkoani Kigoma Kushiriki Msiba wa Askofu Katale.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango katika Uwanja wa Ndege wa Kigoma akisalimiana na Mkuu wa Mkoa huo Mheshimiwa Thobias Andengenye wakati alipowasili mkoani Kigoma kushiriki mazishi ya aliyekuwa Askofu wa Jimbo la Ziwa Tanganyika la Kanisa la Morovian,Askofu Charles Katale yanayofanyika leo tarehe 7 Mei 2022.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.