Habari za Punde

Spika BLW akutana na Balozi mdogo wa China ofisini kwake

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid akizungumza na Balozi  Mdogo wa China nchini Tanzania zhang Zhisheng  wakati alipotembelewa  na Balozi huyo ofisini kwake Chukwani kwa ajili ya Kujitambulisha pamoja na kuendelea kuimarisha ushirikiano uliopo baina ya China na Zanzibar.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.