Habari za Punde

MAKAMU MWENYEKITI KINANA AKUTANA NA BALOZI WA UBELIGIJI NCHINI TANZANIA OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA.

 

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Komredi Abdulrahman Kinana akutana na Kufanya mazungumzo na Balozi wa Ubeligiji  Nchini Tanzania, Bw. Peter Van Acker,  katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama, Lumumba, Dar es Salaam, Juni 16, 2022. (Picha  Zote na Fahadi Siraji /CCM MAKAO MAKUU)
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.