![]() |
Kamanda wa polisi mkoani Iringa ACP Allan Bukumbi
akitoa taarifa ya jeshi la polisi kwa waandishi wa Habari mkoani Iringa alisema
Watoto hao walikamatwa katika maeneo mbalimbali ya manispaa ya Iringa
Kamanda wa polisi mkoani Iringa ACP Allan Bukumbi
akitoa taarifa ya jeshi la polisi kwa waandishi wa Habari mkoani Iringa alisema
Watoto hao walikamatwa katika maeneo mbalimbali ya manispaa ya Iringa
Na Fredy Mgunda, Iringa.
Jeshi la polisi mkoani Iringa Linawashikilia watoto wapatao 10 kwa tuhuma za uzururaji baada ya kuwakamata nyakati za usiku katika oparesheni maalum ya kukomesha uzururaji kwa Watoto unaopelekea wengi wao kujihusisha na vitendo vya uhalifu
No comments:
Post a Comment