Habari za Punde

WAZIRI WA UCHUMI WA BULUU AFUNGUA WARSHA YA WADAU WA TAFITI ZA TAKWIMU SAHIHI ZA RASILIMALI BAHARI

Waziri wa Uchumi wa Buluu na Maendeleo ya Uvuvi Mhe.Suleiman Massoud Makame akizungumza wakati  akifungua mkutano wa wadau wa Takwimu za Bahari unaohusiana na tafiti za usimamizi wa takwimu sahihi za mazao ya baharini huko Hoteli ya marumaru Mjini Zanzibar. 

Mkurugenzi Idara ya Uvuvi na Maendeleo ya Bahari Dkt.Salim Soud Hemed akizungumza na waandishi wa Habari kuhusiana na faida za takwimu sahihi za rasilimali Bahari wakati wa mkutano wa wadau wa Takwimu za Bahari uliofanyika Hoteli ya marumaru Mjini Zanzibar. PICHA NA FAUZIA MUSSA –MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.