Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi aendelea na ziara yake Wilaya ya Mjini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa araza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wavuvi, wakulima wa mwani pamoja na Wananchi  mara baada ya kukabidhi  vifaa vya Uvuvi  akiwa katika ziara ya Wilaya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 18/07/2022.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Bibi.Bimkuwa Nassor (kulia) mwakilishi wa kikundi cha wakulima wa Mwani "SUBIRA NZURI"  mara baada ya kukabidhi  vifaa vya Uvuvi pamoja na boti za kupakilia mwani akiwa katika ziara ya Wilaya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 18/07/2022. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Fedha Shilingi Millioni Moja na Nusu Nd,Kassim Hassan akiwa mshindi katika mashindano ya Vidau wakati ziara yake ya Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 18/07/2022.

Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi na wananchi wakiwa katika hafla ya kukabidhi vifaa vya Uvuvi pamoja na boti za kupakilia mwani viliyokabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwa katika ziara ya Wilaya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 18/07/2022. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifungua pazia kuweka jiwe la msingi ujenzi wa  Skuli Mpya ya Bintiamran  iliyojengwa kupitia mkopo wa UVIKO 19,katika ziara ya leo akiwa katika ziara Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa.[Picha na Ikulu] 18/07/2022.
Wanafunzi wa Skuli mbali mbali za Wilaya ya Mjini wakiwa katika sherehe za uwekaji wa Jiwe la msingi Skuli Mpya ya Bintiamran  iliyojengwa kupitia mkopo wa UVIKO 19,katika hafla ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ya uwekaji wa jiwe la msingi leo akiwa katika ziara Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 18/07/2022.
Mbunge wa Jimbo la  Mpendae Taufik Salum Turky alipokuwa akitoa akitoa maelezo  wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipoweka   jiwe la msingi ujenzi wa  Skuli Mpya ya Bintiamran  iliyojengwa kupitia mkopo wa UVIKO 19,katika ziara ya leo akiwa katika ziara Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 18/07/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na wananchi na Wanafunzi katika hafla ya  kuweka jiwe la msingi ujenzi wa  Skuli Mpya ya Bintiamran  iliyojengwa kupitia mkopo wa UVIKO 19,akiwa katika  ziara ya   Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 18/07/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Waziri wa Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ  Mhe.Masoud Ali Mohamed (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa wakati  alipowasili  katika viwanja vya Karakana katika uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa  mabanda ya Biashara za Wajasiria mali   yaliyojengwa kupitia mkopo wa UVIKO 19,akiwa katika  ziara ya   Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 18/07/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na wajasiria mali na wananchi wakati wa  uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa  mabanda ya Biashara ya Wajasiria mali    Karakana yaliyojengwa kupitia mkopo wa UVIKO 19,akiwa katika  ziara ya   Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 18/07/2022.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati ) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mshauri Mwelekezi wa Kampuni ya Habconsiult Ltd ya Dar es Salaam Nd,Habib Nuru wakati alipoangalia michoro ya ujenzi wa Hospitali ya Mkoa inayojengwa Lumumba kupitia Fedha za Mkopop wa Uviko 19.[Picha na Ikulu] 18/07/2022. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.