RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini
Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud alipowasili katika viwanja vya Msikiti wa
Kidoti kuhudhuria Sala ya Eid Al hhajj iliyofanyika Kitaifa katika Mkoa wa
Kaskazini Unguja leo 10-7-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Al Hajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi
na Utawala Bora Zanzibar Alhajj Haroun Ali Suleiman wakielekea katika Msikiti
wa Kidoti kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Eid Al Hajj, iliyofanyika Kitaifa
katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 10-7-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam
katika Sala ya Eid Al Hajj iliyofanyika katika Msikiti wa Ijitimai Kidoti Mkoa
wa Kaskazini Unguja leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia hutuba ya Sala ya Eid Al
Hajj kisomwa na Sheikh Shauri Saleh.(hayupo pichani) baada ya kumalizika Sala
ya Eid Al Hajj iliyofanyika katika Msikiti wa Ijjitimai Kidoti Mkoa wa
Kaskazini Unguja leo 10-7-2022,na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Katiba.Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Alhajj.Haroun Ali Suleiman na
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman na (kushoto
kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Kadhi Mkuu wa
Zanzibar Sheikh.Othman Hassan Ngwali.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa
Sala ya Eid Al Hajj iliyofanyika katika Msikiti wa Ijitimai Kidoti Mkoa wa
Kaskazini Unguja leo 10-7-2022,(kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi
na Utawala Bora Zanzibar.Alhajj Haroun Ali Suleiman na Makamu wa Kwanza wa Rais
wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Kadhi Mkuu wa
Zanzibar Sheikh.Othman Hassan Ngwali.(hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa
Sala ya Eid Al Hajj iliyofanyika katika Msikiti wa Ijitimai Kidoti Mkoa wa
Kaskazini Unguja leo 10-7-2022,(kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi
na Utawala Bora Zanzibar.Alhajj Haroun Ali Suleiman na Makamu wa Kwanza wa Rais
wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Alhaj Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh.Saleh Omar Kabi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Hajj iliyofanyika katika Msikiti wa Ijitimai Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 10-7-2022.
No comments:
Post a Comment