Habari za Punde

Mhe Simai awasilisha ripoti ya Utekelezaji wa maoni, ushauri na mapendekezo ya kamati ya Kilimo Biashara na Utalii kwa mwaka 2021/2022

Waziri wa Utalii na mambo ya kale mhe Simai Mohammed Said alipokuwa akisikiliza kwa makini alipokuwa Baraza la Wawakilishi
Waziri wa Utalii na mambo ya Kale mhe Simai Mohammed Said akiwasilisha ripoti ya Utekelezaji wa maoni, ushauri na mapendekezo ya kamati ya Kilimo  Biashara na Utalii kwa mwaka 2021/2022
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.