Inna lillah waina ilayhi rajiun Mhe Mwinyi Haji Makame ametangulia mbele ya haki saa hivi ameanguka ghafla nyumbani kwake amekimbizwa hospital hakufika.
Inna lillahi wa inna ilayhi rajiuna Mungu amfanyie wepesi katika safari amsamehe makosa yake na amuweke peponi filjannah na wafiwa awape subira katika kipindi hiki
Maziko yatafanyika leo kijiji kwao bweleo baada ya sala ya Ijumaa
No comments:
Post a Comment