Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk Hussein Ali Mwinyi Awaapisha Viongozi Aliowateua Hivi

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe,Zubeir Ali Maulid,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman,Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi pamoja  na Viongozi mbali mbali waliohuria katika hafla ya kuapishwa leo Viongozi walioteuliwa na  Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi hivi karibuni katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha  Bw,Mgeni Jailani Jecha kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar,aliyemteuwa hivi karibuni hafla hiyo imefanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kabla alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mipango Uendeshaji na Rasilimali Watu katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar.
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi hati ya kiapo Bw,Mgeni Jailani Jecha baada ya kumuapisha kuwa  Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar, katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha   Nd,Valentina Andrew Katema kuwa    Mrajis wa Mahakama Kuu ya Zanzibar   katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,kabla alikuwa Naibu Mrajis wa Mahakama Kuu ya Zanzibar.

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi hati ya kiapo Nd,Valentina Andrew Katema  baada ya kumuapisha  kuwa Mrajis wa Mahakama Kuu ya Zanzibar   katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,kabla alikuwa Naibu Mrajis. 

Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha   Nd,Shahim  Fauzi  Mohamed  kuwa Naibu Mhasibu Mkuu wa Serikali katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi hati ya kiapo Nd,Shahim  Fauzi  Mohamed baada ya kumuapisha  kuwa Naibu Mhasibu Mkuu wa Serikali katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama ni miongoni mwa Wageni mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa leo Viongozi walioteuliwa na  Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi hivi karibuni katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
[Picha na Ikulu] 05-10-2022. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.