Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amekutana na Kuzungumza na Ujumbe wa Ngazi ya Juu Wizara ya Mambo ya Nje wa India Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na  Katibu Mkuu wa Idara ya Ushirikiano Kati ya India na Bara la Afrika Mhe.Dammu Ravi(wa pili kulia)pamoja na  Ujumbe wa  ngazi ya juu kutoka Wizra ya Mambo ya Nje ya India walipofika    Ikulu Jijini Zanzibar leo, wengine ni miongoni ujumbe (kushoto) Mr.Binaya S.Pradhan na Mr.Punnet Roy Kundal.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimsikiliza Katibu Mkuu wa Idara ya Ushirikiano Kati ya India na Bara la Afrika Mhe.Dammu Ravi wakati wa mazungumzo na  Ujumbe wa ngazi ya juu kutoka Wizra ya Mambo ya Nje ya India,walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akizungumza na Ujumbe wa ngazi ya juu kutoka Wizra ya Mambo ya Nje ya India,unaoongozwa na Katibu Mkuu wa Idara ya Ushirikiano Kati ya India na Bara la Afrika Mhe.Dammu Ravi(wa pili kulia) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo,(kushoto) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na  Katibu Mkuu wa Idara ya Ushirikiano Kati ya India na Bara la Afrika Mhe.Dammu Ravi,mara baada ya    mazungumzo na  Ujumbe wa ngazi ya juu kutoka Wizra ya Mambo ya Nje ya India,walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha  na Ikulu] 07/10/2022.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.