Habari za Punde

Tani 30 za tende iliyoharibika zateketezwa
 Hivi karibuni Bodi ya Dawa na Chakula Zanzibar  (ZFDA)  Imefanikiwa kuteketeza jumla ya tani 30 za  tende ilioharibika kutokana  na uhifadhi mbaya na kupelekea kutokua salama  Kwa matumizi ya  binaadam, pichani ni Tikatika likiteketeza tende  hiyo  katika jaa la Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.