Habari za Punde

Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume Zanzibar wajifunza kwa vitendo


 Wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume Zanzibar (KIST) wanaosomea fani ya (CIVIL ENGINERING) Degree mwaka wa kwanza wakijifunza kwa vitendo kwenye Setting out ya Ujenzi wa Nyumba. Katika Eneo la Taasisi ya Karume Mbweni Zanzibar.

PICHA NA MARYAM KIDIKO - KIST

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.