Habari za Punde

Ziara ya Mhe.Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Wilayani Kondoa mkoani Dodoma

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Wilaya ya Kondoa alipokuwa njiani akielekea Wilaya ya Babati Mkoani Manyara kwa ajili ya kuanza ziara ya kutembelea na kukaguwa miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi  tarehe 22 Novemba, 2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.