Habari za Punde

Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said Amesaini Kitabu cha Maombolezo Kufuatia Kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin

Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said akisaini  kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin,(picha ya kati) alipofia katika Ofisi ya Ubalozi wa Mdogo wa China uliopo Mazizini Jijini Zanzibar leo (kushoto) Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China aliyepo Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said akisaini  kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin, alipofika katika Ofisi ya Ubalozi Mdogo wa China uliopo Mazizini Jijini Zanzibar leo. 05/12/2022. 
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said akizungumza na   Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng,baada ya kutia saini kitabu cha maombelezo kufuatia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin, leo   katika Ubalozi Mdogo wa China Mazizini Zanzibar.05/12/2022.
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said (katikati)  akiagana na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng,baada ya kutia saini kitabu cha maombelezo kufuatilia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin, leo katika Ofisi ya Ubalozi Mdogo wa China Mazizini Zanzibar (kulia) Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje, Ofisi ya Zanzibar Bi.Mariam  Haji Mrisho.[Picha na Ikulu] 05/12/2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.