Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amefungua Hospitali ya Wilaya Micheweni Pemba Ikiwa ni Shamrashamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya ZanzibarK.

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Hospitali kubwa ya kisasa ya Ghorofa ya Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe  kufungua  Hospitali kubwa ya kisasa ya Ghorofa ya Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(wa pili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi Mhandisi Zena Ahmed Said (kulia)Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui(wa pili kushoto)
Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akitembelea sehemu mbali mbali za Jengo la Hospitali ya Wilaya ya Micheweni  Leo mara baada ya kuifungua rasmi  katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia)waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Marzui.

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipata maelezo kutoka kwa Meneja Biashara za NMB Zanzibar Ndg.Naima Said Shaame (katikati) wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Jengo la Hospitali ya Wilaya ya Micheweni  Leo mara baada ya kuifungua rasmi  katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia)Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Marzui

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akipokea Vifaa huduma za Afya kutoka kwa Uongozi wa Benki ya NMB vikiwemo viti vya magurudumu na vyegngine mbbali mbali wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Jengo la Hospitali ya Wilaya ya Micheweni  Leo mara baada ya kuifungua rasmi  leo katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Mke wa Rais  Mama Mariam Mwinyi
Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kushoto) wakiwasalia wananchi waliofika kupata huduma za Afya wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Jengo la Hospitali ya Wilaya ya Micheweni  Leo mara baada ya kuifungua rasmi  katika shamra shamra za  miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia)Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Marzui




 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.