RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi
wakisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud
Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe, Hemed Suleiman Abdulla na
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum
Mohammed, alipowasili katika viwanja vya Jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwa ajili ya hafla ya Uzinduzi
wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na
Segap, Jengo jipya la Terminal 3 leo 26-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea Jengo Jipya la Terminal 3
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakati wa hafla ya
Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate
Leisure na Segap,Jengo la Terminal 3 na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa
Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed
Said na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud
Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum
Mohammed
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,
wakitembelea Jengo Jipya la Terminal 3
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar na (kulia kwa Rais)
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum
Mohammed, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya
Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap, Jengo la Terminal 3, uzinduzi huo
uliyofanyika leo 26-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Huduma
za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Terminal 3, na (kushoto kwa
Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mwenyekiti Mtendaji wa
Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI Ndg. Steve Allen na (kulia kwa Rais) Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais
wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na
Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed.

wakimsikiliza Bw. Javed Jafferji, wakati wakitembelea Duka lake la Recycle
Zanzibar katika jengo la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani
Karume,wakati wa hafla ya Ufunguzi wa huduma
za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap
katika jengo jipya la Terminal 3 leo
26-1-2023.(kulia kwa Mama Mariam Mwinyi) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Bi.Kulsum Jafferji
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akipata
maelezo kutoka kwa Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI
Ndg. Steve Allen, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya
Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap katika Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Terminal 3, uzinduzi huo uliofanyika leo
26-1-2023.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi baada ya Uzindua Huduma za Viwango vya Kimataifa katika jengo la jipya la Termanal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo 26-1-2023
BAADHI ya Wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa katika jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika leo 26-1-2023
WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar ya wakimsikilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa katika jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, uliofanyika leo 26-1-2023
BAADHI ya Wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa katika jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika leo 26-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi zawadi maalum na Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI Ndg. Steve Allen, wakati wa Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika leo 26-1-2023
No comments:
Post a Comment