Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi afanya ziara ya kushtukiza kutembelea maduka Chakechake Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akizungumza na Bw.Suleiman Ali Abdalla (kulia) Mfanyabiashara wa Duka la Chakula  na  bidhaa mbali mbali  kujua bei halisi hasa Chakula Kikuu kwa wananchi   wakati alipotembela Soko Kuu la Chake chake Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo  alipofanya ziara maalum.[Picha na Ikulu] 12/02/2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika duka la  Bw. Ali Hamad (katikati) kuangalia bei za bidhaa  mbali mbali za Chakula wakati alipotembela Maduka ya Macho manne   Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo  alipofanya ziara maalum.[Picha na Ikulu] 12/02/2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiangalia Mchele  katika duka la  Bw. Ali Hamad (katikati) alipofanya ziara maalum ya kutembea maduka ya Machomanne Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo pamoja na  bidhaa  mbali mbali za Chakula,sambamba na Agizo lililotolewa na Serikali kuwataka Wafanyabiashara kupunguza bei ili kuwapungumzia Mzigo Wananchi.  [Picha na Ikulu] 12/02/2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Mtaa wa Machomanne,Chakechake mara baada ya kuangalia bei za Bidhaa ya Mchele katika maduka mbali mbali katika mtaa huo  alipofanya ziara maalum ya kutembea maduka katika   Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo.  [Picha na Ikulu] 12/02/2023.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.