Daktari wa Magonjwa ya FIGO Hospital ya Rufaa Mnazimmoja Dkt.Mohamed Khamis Miraji akitolea ufafanuzi ugonjwa huo wakati wa mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na siku ya Ugonjwa wa FIGO Duniani ambayo huadhimishwa Kila ifikapo Alhamisi ya kwanza ya mwezi wa tatu ambapo kauli mbiu Kwa mwaka huu "Afya Bora ya FIGO kwa wote tuwaunge mkono wenye maradhi ya FIGO " ,hafla hiyo iliyofanyika Hospital ya Rufaa Mnazimmoja,machi 06,2023. PICHA NA FAUZIA MUSSA-ZANZIBAR ZANZIBAR
Baadhi ya wagonjwa wa maradhi ya figo wakipatiwa huduma ya kuchuja damu ( dialysis) katika Hospitali ya Rufaa Mnazimmoja machi 06,2023. PICHA NA FAUZIA MUSSA-ZANZIBAR ZANZIBAR
Daktari Bingwa Mbobevu wa Magonjwa ya FIGO Hospitali ya Rufaa Mnazimmoja Dkt. Muhiddin Abdi Mahmoud akiwaelezea waandishi wa Habari kuhusiana na mfumo mzima wa kuchuja damu kwa wagonjwa wa FIGO waliofikia hatua ya tano ( dialysis) ,wakati walipotembelea kitengo cha huduma hiyo huko Hospitali ya Rufaa Mnazimmoja, kuelekea siku ya FIGO Duniani ambayo huadhimishwa Kila ifikapo Alhamis ya kwanza ya mwezi wa tatu ambapo kauli mbiu Kwa mwaka huu "Afya Bora ya FIGO kwa wote tuwaunge mkono wenye maradhi ya FIGO ",machi 06,2023. PICHA NA FAUZIA MUSSA-ZANZIBAR ZANZIBARMgonjwa wa maradhi ya FIGO Saleh Othman akiwaelezea waandishi wa habari juu ya ugonjwa wa Figo amabao ameishi nao kwa miaka minane wakati walipotembelea kitengo cha huduma ya uchujaji damu kwa wagonjwa wa figo waliofikia hatua ya tano Hospitali ya Rufaa Mnazimmoja, kuelekea siku ya FIGO Duniani ambayo huadhimishwa Kila ifikapo alhamisi ya kwanza ya mwezi wa tatu ambapo kauli mbiu Kwa mwaka huu "Afya Bora ya FIGO kwa wote tuwaunge mkono wenye maradhi ya FIGO ",machi 06,2023. PICHA NA FAUZIA MUSSA-ZANZIBAR ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment