Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akimwapisha Mkuu wa Mkoa wa Mara Ikulu Chamwino mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Said Mohamed Mtanda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kumwapisha Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Said Mohamed Mtanda, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mhe. Said Mohamed Mtanda mara baada ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Mei, 2023.
Picha na Ikulu.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.