Katibu Mkuu Wizara ya
Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu (katikati) akiwa kwenye kikao na Mtaalamu
wa michezo kutoka Shirika la Maendeleo ya Japan (JICA) Dkt. Shiraishi Tomoya (wa
pili kushoto) Juni 01, 2023 jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya
Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu (wa tatu kushoto) akiwa katika
picha ya pamoja na wageni kutoka utoka Shirika la Maendeleo ya Japan (JICA)
wakiongozwa na Mtaalamu wa michezo Dkt. Shiraishi Tomoya (wa pili kushoto)
Katibu Mkuu Wizara ya
Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu (kulia) akisalimiana na Mtaalamu
wa michezo kutoka Shirika la Maendeleo ya Japan (JICA) Dkt. Shiraishi Tomoya (kushoto)
No comments:
Post a Comment