Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanafamilia wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Marehemu Jecha Saluma Jecha mara baada ya kuwasili katika Kijiji cha Mkwajuni Uyagu Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kutoa pole tarehe 18 Julai, 2023.
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2025, kikao kilicholenga kufanya tathmini ya
uteke...
53 minutes ago

0 Comments