Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi aufunga Mkutano wa Kitaifa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Mwenyekiti wa TCD Prof.Ibrahim Lipumba (kushoto) wakizindua mradi wa "kuimarisha mazungumzo ya vyama  vingi vya Siasa na kukuza ushiriki wa Wanawake na Vijana katika michakato ya kisiasa na Chaguzi" hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam  wakati  wa Ufungaji wa Mkutano wa Kitaifa wa  kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024na 2025. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mwenyekiti wa TCD Prof.Ibrahim Lipumba (wa pili kulia) wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa wakati wa kufunga Ufungaji wa Mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa   kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam

Baadhi ya Viongozi wa Vyama vya siasa walioshiki mkutano wa wa siku mbili wa Kitaifa wa   kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam  wakifuatilia kwa makini Hotua ya Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Ufungaji wa mkutano huo. 

Baadhi ya Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao hapa Tanzania wakiwa katika ufungaji wa Mkutano mkutano   wa siku mbili wa Kitaifa wa   kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam  ambapo   Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) aliufunga mkutano huo.
Baadhi ya Viongozi na Wad mbali mbali wa Vyama vya siasa walioshiki mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa   kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam  wakifuatilia kwa makini Hotua ya Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Ufungaji wa mkutano huo.
Baadhi ya Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao hapa Tanzania wakiwa katika ufungaji wa Mkutano mkutano   wa siku mbili wa Kitaifa wa   kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam  ambapo   Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) aliufunga mkutano huo.
 Viongozi wa Vyama vya siasa walioshiki mkutano wa wa siku mbili wa Kitaifa wa   kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Ufungaji wa mkutano huo leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa Hutuba yake katika mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa   kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam uliohudhuriwa na Viongozi na wadau mbali mbali.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa Hutuba yake katika mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa   kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam(kulia) Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Michael Battle,Mwenyekiti wa TCD Mhe.Prof.Ibrahim Lipumba,Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Mhe.Sisty Nyahoza na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe.Edward Mpogolo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Mwenyekiti wa TCD Mhe.Prof.Ibrahim Lipumba,baada ya kuufunga  mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa   kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam  .[Picha na Ikulu] 23/08/2023.  
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.