Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ahudhuria Kilele cha Tamasha la Kizimkazi, Paje Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akipokea Maandamano ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Paje kwa ajili ya kilele cha Tamasha la Kizimkazi lililofanyika Zanzibar tarehe 31 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akipokea Maandamano ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Paje kwa ajili ya kilele cha Tamasha la Kizimkazi lililofanyika Zanzibar. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na  Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati wa Maandamano ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) yakipita mbele ya Jukwaa Kuu wakati wa Kilele cha Tamasha la Kizimkazi lililofanyika Paje Zanzibar 


Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wakiwa kwenye viwanja vya Paje kwa ajili ya kuhudhuria Kilele cha Tamasha la Kizimkazi lililofanyika Zanzibar 



 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.