Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi atoa mkono wa pole kwa familia ya Zehra Ismail Alluu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma dua kumuombea Marehemu Zehra Ismail Alluu, shangazi yake Kada wa Chama cha Mapinduzi Bi. Yasmin Alluu (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, alipofika nyumbani kwa marehemu kutowa mkono wa pole kwa familia katika mtaa wa Jamhuri Jijini Dar es Salaam leo 8-9-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma dua kumuombea Marehemu Zehra Ismail Alluu, shangazi yake Kada wa Chama cha Mapinduzi Bi. Yasmin Alluu (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi , alipofika nyumbani kwa marehemu kutowa mkono wa pole kwa familia katika mtaa wa Jamhuri Jijini Dar es Salaam leo 8-9-2023.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.